1 Chronicles 3:17-19

Ukoo Wa Kifalme Baada Ya Uhamisho


17 aHawa ndio waliokuwa wazao wa Yekonia aliyekuwa mateka:
Shealtieli mwanawe,
18 bMalkiramu, Pedaya, Shenasari, Yekamia, Hoshama na Nedabia.

19 cWana wa Pedaya walikuwa:
Zerubabeli na Shimei.
Wana wa Zerubabeli walikuwa:
Meshulamu na Hanania.
Shelomithi alikuwa dada yao.
Copyright information for SwhKC